Duration 3:40

MTAZAME MHE.RAIS MAGUFULI AKINUNUA MAINDI NA KULA LEO DUMILA/ MILIONI MOJA KWAAJILI YA BARABARA

26 850 watched
0
143
Published 5 Aug 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John.Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila akitokea jijini Dar, Rais Magufuli amewahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa mabanda ya kisasa, baada ya wafanya biashara hao kumuomba Mhe. Rais waongezewe eneo Hilo lililopo kando ya Barabara iendayo Dodoma. #hapakazitu #tanotena #magufuli #aendeleenakazi

Category

Show more

Comments - 51