Duration 2900

Ufugaji wa kuku | incubator

362 watched
0
2
Published 9 Sep 2021

Matumizi ya mashine zetu 1 hutumia mafuta lita 8 kwa siku 21 2 hutotolesha mayai kwa 98% 3 unageuza mara 2 au 3 kwa siku kuanzia siku ya 3 mfululizo had siku ya 18 mwisho wa kugeuza 4 joto linalotakiwa ndan ya mashine ni 36.5 lisizidi 38.5 °c lakin hata likizid hakuna madhara kwa mayai Contact us :- Dodoma kisasa WhatsApp au call +255753164374 Facebook page: Luxie Poultry Farm Instagram page: Luxie Group investment Youtube channel : Luxie Group Investment Email: aswegek@gmail.com

Category

Show more

Comments - 0