Duration 5:18

BREAKING: MAALIM SEIF ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA RASMI

10 673 watched
0
66
Published 30 Jan 2020

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 74
  • @
    @mwatumsaidi51044 years ago Mausha unapata lakini madhalim ccm wanatumia dola kuzulumu alaisallah bihaakamil hakimin. 5
  • @
    @rizikisalum96784 years ago Kura yangu ishaallah yako baba panapo uhai na majaliwa. 3
  • @
    @muhsinnainoabdullah15394 years ago Hongera jembe letu kura yangu unayo baba hatuchoki kukupa kura zetu kwa sababu wewe ndio chaguo la wazanzibar wanokubeza awo ni wazanzibara kwa iyo sisi wazanzibara tunakujali na tunakuelewa baba. 1
  • @
    @iddijumaali71924 years ago Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia 100 inshallah. 4
  • @
    @allydaruweshi59834 years ago Tutakuchaguw baba tupo naww hakun kukat tamaa. 3
  • @
    @mtitimtiti3764 years ago The day will come zanzibar to be free zanzibar. 3
  • @
    @hamzaalonso61154 years ago Naam maalim bado tunakuhitaji na ishallah huu ndio mwako wako wa kuingia ikulu imarishine chama. 3
  • @
    @amrozwhite10734 years ago 2020 itapigwa goli la wapi marahii sema mwenyewe malim sef.
  • @
    @salumjumaruhaga25134 years ago Apo cha-cha, jembe limepata mpinj, wa mpingo. 1
  • @
    @shabania333rajabu4 years ago Pumzika mzee mwezangu huoni umri umekupita. 1
  • @
    @khadijaa8154 years ago Si muvunje tu vyama vingi ibaki ccm tu yeshe. 1
  • @
    @chidiboy58154 years ago Wpi inshaallah ccm itashida kura yngu naipa ccm. 1
  • @
    @mudhihirramadhan53874 years ago Duu hujachoka tu toka mwaka 199? Mpaka leo 2020 bado hujakata tamaa.
  • @
    @ramdanram73874 years ago We mzee pumzika tena hivo ulivyo bado unataka uongozi ni bora utulie mzee ulee wajukuu achana na mambo ya siasa. 1
  • @
    @kassidpandu98064 years ago Duu mzee huna aibu chama hakina vijana?
  • @
    @haidaromar20794 years ago Yan huy jamaa hakat tama hii pole san ndung but ccm. 1
  • @
    @suleimanally23974 years ago Kyefule unataka kufukuzwa chama zito mfukuze huyo.
  • @
    @zayyatiyussuf95664 years ago Kura yangu naipa ccm chama cha ccm kidumu na 2050 kidumu. 3
  • @
    @mhogomchungu71684 years ago Huyu mzee anatamaa kama fisi. Wazanzibari tuchague ccm tupate maendeleo.
  • @
    @assleeali23024 years ago Maalim saiv kaa upande unazingua sana tushachok na wewe. Mamuzi yako ni ya uongo mtupu. 2
  • @
    @tumabhay85764 years ago Kakojoe ukalale we balahau huna chama huna sera huna kura huna madaraka. Ucpoteze muda bado unatamaa to nyangarikata pori wewe ushazeeka umebakia kichwa . ...Expand