Duration 8:5

TAZAMA BARNABA ALIVYOWAIMBIA WHOZU NA TUNDA MAHABA KAMA YOTE KWENYE BABY SHOWER

22 231 watched
0
150
Published 22 Jun 2021

NI Msanii wa Bongo Fleva Barnaba ambae June 20, 2021 alishika kipaza sauti kisha kuwaimbia Tunda na Whozu katika Baby Shower iliyofanyika nyumbani kwa Tunda. Tunda kwasasa ni mjamzito na wakati wowote anatarajiwa kujifungua, unaweza ukatazama hii video jionee Barnaba alivyomsimamisha Whozu na Tunda kucheza.

Category

Show more

Comments - 47