tarehe 17/09 kila mwaka inakuwa siku ya kudhimisha siku ya usalama wa wagomjwa duniani, Hii siku inaratibiwa na kusimamiwa na Shirika la Afya Duniani WHO na hospitali ya AGA KHAN waliandaaa hafla maalumu kuadhimisha siku hiyo ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni "USALAMA WA WAZAZI NA UNGALIZI WA WATOTO WACHANGA"
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for TAZAMA HAFLA YA SIKU YA USALAMA WA WAGONJWA DUNIANI ULIOFANYIKA AGA KHAN HOSPITALI.: