Duration 5:44

MANARA AMLIPUA BARBARA - UNA ROHO MBAYA, NAKUACHIA HII SIMBA, UNANIDHALILISHA

234 835 watched
0
736
Published 22 Jul 2021

MANARA AMLIPUA BARBARA - "UNA ROHO MBAYA, NAKUACHIA HII SIMBA, UNANIDHALILISHA" Msemaji wa club ya Simba Haji Manara ameendeleza moto wake juu ya CEO wa club hiyo Barbara Gonzalez kwa kumtuhumu mambo mbalimbali ambayo yanamuumiza na kutaka kuondoka simba sc. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 315
  • @
    @edwinfernandes88813 years ago Manara unapendwaa. Kwani hujui mwanamkee akikupenda anakuwaje. 37
  • @
    @loner_wolf3 years ago Msitishiane mabavu, kila mtu afanye kazi yake tu. Natumaini mo dewj atawasuruhisha na kazi itaendelea kwa nguvu ya mwenyezi mungu inshallah.
  • @
    @mikealeck64473 years ago Haji ni sawa na cristiano real madrid, akiondoka ndio mtaelewa maana yke. 6
  • @
    @joeljohnie10803 years ago Huyo barbra hatumtambui sis atuachie manara wetu. 4
  • @
    @abuyunusmohamed69613 years ago Huyo katumwa na mo akufanyie visakengele na mo. Msemaji mpya wa simba atakuwa mhindi. 7
  • @
    @mussatendeli69093 years ago Mmeanza kutengeneza tention mtutoe kwenye reli nasema hivi tutawagonga tu. 12
  • @
    @simbarajabu41573 years ago Wanawake ni watu wabaya sana shekh manara.
  • @
    @lazarombogo28243 years ago Hii sauti ya manara mbaka roho inaniuma manara tunampenda sana sisi wana simba hiyo takataka isimzoee manara wetu. 5
  • @
    @ahmadchitema8363 years ago Vita vya pazi furaha kwa kunguru, staff wa simba munarumbana huku wa yanga wakijipanga vyema kuwakabir huko kigoma. 7
  • @
    @pauljames59233 years ago Babra tuachie haji wetu wew huijui simba toka. 2
  • @
    @kimolyjunior79783 years ago Babra tumekuchoka tuachie simba yetu na manara wetu we kwanza hatukujuwi waweza kwendaaa. 2
  • @
    @latifabashiru55983 years ago Hongera kwa kukataa utumwa, mwanamke na mpira wap na wap, tim inaenda kuwa ya wahindi tupu. 2
  • @
    @richardlameck16243 years ago Babra aondoke hata na mo azingua wote wasepe simba hatuna njaa sana. 2
  • @
    @amirikoshuma30393 years ago Mm nilishawaambia wanawake wa kiarabu ni sumu huwa wanna jiona ga sana manara pole sana nimejisikia vibaya sana pole sana haji.
  • @
    @cheguevaratv29173 years ago Mnaosema huu mgogoro utaiharibu simba never. Simba ni kubwa kuliko manara na barbara, watazeeka wataiwacha timu! 1
  • @
    @efraimjohn49563 years ago Hahaha, simba bwana hata mkifanya hz sanaa tunawachapa tu wala hazitutoi kwenye reli. 9
  • @
    @mohammedmkoma92883 years ago Ila jamani dr hamisi kigwangala alishasema mapema a, big up brother kigwangala.
  • @
    @mathewseverine99623 years ago Babra hzo busara za kuongoza simba mbona hazionekan yan ww unajifanya unaijua simba kurko manara kwel ebu tupishe amsha. 6
  • @
    @ahmadbinsaid93353 years ago Salam zangu kwa bos moo naomba uwe makini manara akiondoka simba na sisi mashabik tunamfata mtaenda india mkachukuwe mashabik sisi tutaondok na manara wetu.
  • @
    @rammyrajab46493 years ago Manara tunakupenda to wachaiposiku atajua mashabiki tunamjua hajito haji.
  • @
    @michaelhizza3403 years ago Manara nakushauri usiondoke babra boya tuu yaan sikio haliwezi pita kichwa na kupenda manara tuna kupenda manara. 2
  • @
    @rehemaismail68163 years ago Yote kwa yote please usiondoke simba manara.
  • @
    @qaboossalim473 years ago Simba goli 5 zinawahusu kigoma kama ni hivi. 6
  • @
    @queenmwasanguti23703 years ago Acheni kumuazia manara jamani manara ni simba
    mnamuonea sana manara.
  • @
    @hamidriday23523 years ago Haka kamwanamke kalitokea wapi, pumbavu sana. Manara is another level.
  • @
    @abdullaabdulla70393 years ago Brother haji. Achana na huyo malaya wa kigoa. Huyo ni malaya. Brother haji sisi tunakuamini wewe. Huyo babra kazi yaki nikufirwa tu. 2
  • @
    @habiyamberetheonesterashid69533 years ago Manara mpendwa huku wanyarwanda kigali tulikua tunagufuata saana sasa njoo huku kwa team ya rayonsport kigali. Wa simba hawajuwi kwamba wewe ndo brand . ...Expand
  • @
    @kassimmnyamisi74613 years ago Kwani huyu malaya katokea wapi mbona anataka kutuchanganya. 3
  • @
    @sakinamakau98793 years ago Naipenda simba sana, ila kwa mauzauza haya cjui km msimu ujao tutatoboa. 1
  • @
    @edwardnaubutu25223 years ago Tatizo co ugomvi wenu ni uoga wa kigoma. 8
  • @
    @cbdangel39233 years ago Ukweli tutaujua tuu, ingawa una kawaida ya kuchelewa. Na story inabidi tusikilize pande zote mbili, yaan between them.
  • @
    @justinemaingu14603 years ago Manara binafsi nilikuwa nakkubali sana kwa hali yyte ile ila kwa ili umekosea mwanaume hatemi sumu kwenye umma kama ivo kumbuka uyo ni mwanamke ww ilipaswa . ...Expand
  • @
    @mzafaruabubakari67623 years ago Dausitutafute ujui ata robo ya simba ukome kabisaaa tuwachie manala wetu achana na sisi kabisa. 6
  • @
    @zainabujuma42783 years ago Manara kwa kweli ameleta amsha kweli kwa simba wamuache jmn manara.
  • @
    @Deonfnyoni3 years ago Co babra. Hyo ni boc wako shida kaka khaji unapenda kuwa juu zaidi ya ceo wa club hyo ni boc wako. 8
  • @
    @hakikamusajilamujilamu47233 years ago Manara tuache kwaza umetuuza sanaa kwa yanga.
  • @
    @manjaruu6793 years ago Endeleeni kujichanganya kigoma mnakufa 3. 6
  • @
    @ilynpayne74913 years ago Daah huyu dada mbwa aisee wanawake huwa wana roho mbaya sana.
  • @
    @abdullahjuma92063 years ago Mh kimeshanuka tiari mi niliwambia mzee mpili ni noma mkabisha mnaona sasa. 7
  • @
    @meshackpaul62153 years ago Wanao taka barbra apite kushoto like apo. 4
  • @
    @mbwanakiting71803 years ago Unachambana na mwanamke mitandaoni wewe vipi? Mnagombana sasaulianza kabla yakowewe ndiyo simba. Bila moh hakuna simba. Pole ndugu jeuri imeisha. 5
  • @
    @mwalimukilumbijongo47123 years ago Lakini haji kwa nini useme kuvunja urafiki na hens ni bora uache kazi kuitumikia simba sport club hiyo unaionaje?
  • @
    @somoesalumu76003 years ago Yaani mgema ukimsifia wanawake wanaharibu sana hasa nafasi za juu kumpongeza barbara lakn now anaharibu. 1
  • @
    @loner_wolf3 years ago Sasa kwani kakufanya nini huyo dada, alafu manara huwez kuuza timu, wwe ni msemaji, msemaji hafanyi usajili, msemaji hafundishi jinsi ya kushinda, msemaji . ...Expand 1
  • @
    @goodlucklaizer54953 years ago Wachayao tu ila tar 25 tusifungwe, tukifungwa wote waondoke. 1
  • @
    @saidhassan95113 years ago Mkude, akapimwe akili. Sasa hawa ma boss, milembe. Maana sijuwi kama kunausalama hapo simba. 2
  • @
    @yacenharuna3803 years ago Et n propaganda za mbinu za kumfunga baba mzazi yanga sc, hata vtabu vya dini usltaje jna la mungu wako bule hyo n dhambi, sema haji kakosea sana id="hidden6" kusema mbele ya media, bora hl angelweka prvt na viongoz wake wakalmalza, kwa hal hii n makosa sana awailze barcelona toka mwaka 2018 yaliwatokea haya had leo wanajuta, polen sana watani zangu mikia fc. ...Expand
  • @
    @hayramswalehe49763 years ago Mwanamke kama huyo ni mbuzi, alisema katongozwa na mkude kumbe nikanafiki. 2
  • @
    @clamvevo647213 years ago Barbara una taka kutufingisha tim yetu wakati haji manara ndo kila kitu kwenye tim yetu ya simba manara tuna mpenda sn barbara ndo mana uka mfanya kiungo . ...Expand
  • @
    @abdullahjuma39263 years ago A. Aleikum.
    hebu turudini kwa mungu kila kitu kitakaa sawa ya kwamba, mwanamke hapaswi kua imamu.
    haji kusaliti simba ni sawa na kukausha bahari.
  • @
    @timboxlee9193 years ago Waambie wakupe hela hao, mkataba wa milioni 4, ndy nini, waambie wakupe hela. 1
  • @
    @ip_header3 years ago Dr. Kingwangala alivyo hoji upatikanaji wa ceo mpya, mlimuona analeta majungu, endeleeni kukumbatia moto, mtakumbuka shuka kukishakucha. 1
  • @
    @fredyemmanuel43033 years ago Huu ugovi wenu mngesubir mechi yetu iishe jamani haya malumbano yenu mtasababisha tupoteze tena mechi yetu tutaweka wapi sura zetu jamani.
  • @
    @americanfansmcb.i.g43533 years ago Wewe babra acha kujitia wewe tutakuondoa simba walai huu mwaka hauishi ukiwa simba tena usipoangalia be care**. 4
  • @
    @janetybubegwa52723 years ago Mpaka hapa manara umechemka hata kama umekosewa. 2
  • @
    @jonassemka10483 years ago Nilishangaa tambo za mzee mpili kumbe mpili wee manara?
  • @
    @joaneslawrent48263 years ago Slow down brother namungo ipo tawi lenu.
  • @
    @younglowassa50963 years ago Uyo babra jau tu toka aingie simba simuelewi mana mala anazinguane na mkude kwann awamtoi.
  • @
    @chafu-02983 years ago Hana lolote uyu manara kelele nyingi tuu tulia wewe mfuate mkuu wako wa kazi kwan wewe nani wewe ni mpiga kelele tuu usituektie hapa utawapata hao wasio na akili kungunii we. 3
  • @
    @ngundejkassim32523 years ago Ila haji hapa umefeli sannah umekosa usiri, hii inaweza kukuharibia ukashindwa kuchukuliwa hata na timu ya ruvu shooting. 2
  • @
    @shaddybmc83423 years ago Simba bila manara, hakuna kitu. Raha ya simba ni manara.
  • @
    @karimujuma65953 years ago Kwa nn uongee leo wakat mechi kesho kutwa unatengeneza nn kwetu.
  • @
    @edwardmkwelele3 years ago Ulitakiwa kwenda kwa babra na kuongea naye kiundani si hivi ulivyofanya ni ujinga hufai kuwa simba.