Duration 19:48

KISANGA CHA BODABODA NA POLISI BUNGENI, WAZIRI SIMBACHAWENE ASIMAMA JUU

27 659 watched
0
121
Published 8 Apr 2021

Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa Bungeni Dodoma leo April 8, 2021 ni pamoja na sakata la baadhi ya Askari Polisi nchini Tanzanza kudaiwa kuwabambikizia kesi na kwakamata bila mpangilio madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda

Category

Show more

Comments - 96
  • @
    @jitulakalemastr76363 years ago Mungu awabarki wote mlio uliza maswli zidi ya boda. 3
  • @
    @mathewwami39053 years ago Ni kweli, traffic barabarani wameona boda na bajaj ni kitegauchumi. Ndugu wabunge ninyi hamtumii vyombo hivi katika kutafuta rizki,
    traffic wakimkamata boda au bajaj ni kutoza fine tu. Hawatoi elimu.
    4
  • @
    @humphreyvidonyi2533 years ago Mrisho gambo katulia yuko vizuri. Kwa umbuge wa a town fresh. 1
  • @
    @emmanuelmgaya60783 years ago Wanajenga kwaajili ya pkpk matrafiki huku. 2
  • @
    @emmanuelbonifas35173 years ago Manyinyi nimekuelewa vizuri na ujumbe umewafikia we jibu unavyojua tu lakini swali limekuingia. 2
  • @
    @kingsuleiman72013 years ago Jamani fanyeni malekebisho bodaboda tunapata shida nyee tu nyanyaseni tuta onana 2025. 5
  • @
    @irenepatrickdavid58913 years ago Tatizo ni abiria wao ndo wanawapushi bodaboda. 2
  • @
    @davidkalayo23893 years ago Nikweli polisi wanakamata pikipiki na kudai faini zaidi ya elfu30.
  • @
    @emmanuelmgaya60783 years ago Police wanakomoa sana sio faini hz mtu analipishwa laki na ishilini hapan bhna uonevu. 5
  • @
    @jedidahbintidaudi82413 years ago Pikipiki za watt wa watu zinakaa polisi kisha wanapiga mnada na huku nyuma cag anasema serikali imeliwa ma billions and trillions of money. Kesho pia wanasema . ...Expand 5
  • @
    @Process6073 years ago Ubunge kumbe easy tu mnapiga story hamna jambo.
  • @
    @mbebesisilayo25113 years ago Kituo cha polici chang' ombe temeke mmesikia hiyoo kauli ya naibu chilo. 1
  • @
    @juliethmoshi29233 years ago Hata mmelfu 60 na trafik mwanza na ninamjua wanakupa makosa ya kizembe na kuchomoa funguo kwenye bodaboda huku ikitembea nalo ni tatizo.
  • @
    @josephmeney82003 years ago Arusha trafik walikuwa wakikuta hata pik pk imepak wanakata nyaya na lock steling wanachukuwa hata kama mwenyewe hayupo.
  • @
    @maxcharles54363 years ago Ulanga tunakamatwa kila siku serikal iliangalie. 1
  • @
    @Wami-Sababisho3 years ago Hata ukipigwa faini bodaboda kwa nn hatupewi risiti!
  • @
    @kainimlowe75553 years ago Huyu naibu waziri mbona mpumbavu sana kweli kangi lugola alitusaidia sana. 1
  • @
    @edsonmnego34053 years ago Unaumwa wew nani kakwambia kuwa faini inapunguza ajali kweli selikali hii sasa ni shida.
  • @
    @masudimnama38013 years ago Muheshimiwa naibu wazira fani ndiyo inaondoa ajali za bodoboda.
  • @
    @godfreynefary48883 years ago Majibu ya naibu wazir mambo ya ndan ni ya kipuuz mbwa mkubwa huyo.
  • @
    @kiliboykilimanjaro3773 years ago Huu niukomoaji bunge limekua unafiki mtupu punguzeni adhabu mnakomoa watu sio kila mtu anauwezo hata wakununua hyo bodada anapeleka hesabu acheni unafki hapo bungeni.
  • @
    @mathewwami39053 years ago Mheshimiwa naibu waziri hajaelewa swali vizuri, hoja sio bodaboda kupunguziwa adhabu, hoja ni kuwa hakuna uhusiano wa adhabu kati ya gari na bodaboda. 1
  • @
    @danielyohana72713 years ago Hoja ina kuwa haieleweki faini ya chombo kinacho uzwa milioni mia nne nachombo kinacho uzwa milioni mbili zinafanani duu selikali iliangalie hapo.
  • @
    @angelanaftael79653 years ago Mambo ya ndani kuna machangamoto mengi mnoo. Kero nyingii hakuna kusikilizana ni kuminya tu looo.
  • @
    @malikihemfaume39063 years ago Mzee unajibu kutumia karatasi ingia barabarani uone hawa watu wa chini huku mtihani sana. Wazir ingieni muone raia wanachopata huku uraia.
  • @
    @benjaminbatano32933 years ago Bunge la ovyo tu hili mnatumia kodi ya watanzania hamfai kabisa.
  • @
    @danielyohana72713 years ago Mfanya biashala wa basi anafanya safali moja anaingiza laki 8 kosamoja la balabalani ana lipa selasini bodaboda anapakia abilia wa buku na anakazaidi id="hidden6" ya saa zima bila kupakia abilia mwingine naeakikamatwa analipa selasini duu mungu anawaona kwa sheliahii. ...Expand
  • @
    @rojassally20663 years ago Wangekuwa na wao kuna sheria inawabana n raia tukaijua basi polis.
  • @
    @jumamtopelwa22383 years ago Azabu za bodaboda zipo juu sana tunaomba zipunguzwe.
  • @
    @shukurumwalukopetro67573 years ago Mliouliza maswali safi sanatunaonewa sana funguo wanapora kama zao, kwani ukinikamata huwezi kunielimisha tu hadi hela!
  • @
    @humphreyvidonyi2533 years ago Mda haujafika c kweli? Mnakamata piki mno?
  • @
    @makongoronyerere25953 years ago Kwan hy xpika anaacha lin uspka wake? Kaz kucheka cheka2, nahivyo jpm hyupo kazi ipo,
  • @
    @isayayohana63413 years ago Yani tunaomba serikali iangalie hili swala la fayni kwa upande wa sisi waendesha boda yani m2 unapingwa faini ata ya laki na ishirini jmn. 1
  • @
    @jitulakalemastr76363 years ago Ata ajajibu kitu kinacho elewka kwni boda wote niwa korofi mbona ata magar kuna maderva wanaendesha vibaya.
  • @
    @isacksaimon45323 years ago Kwakwel boda wana teseka sana wana kamatwa sana tena saiv wana fatwa vijiwen alaf mkisema zinapigwa minada hapo sasa mna dengeneza madili kwa wabigaji.
  • @
    @zinbormdan98133 years ago Muwaonee huruma jaman vijan wanatafuta hawataki kuiba.
  • @
    @alvangidion42673 years ago Unombwa rushwa ya elfu 300, huku anakutishia kukupiga faini ya 900.
  • @
    @ishengomanelson3 years ago Hivi nyie wanasiasa wa tanzania mmerogwa na nani? Yaani wakati mwingine hujui mwenye uelewa na asiye! Thanks to mbunge wa kinondoni abbas tarimba.
  • @
    @sannycpaul94233 years ago Nyinyi wabunge mnatuvuruga tuu hapa shwaini nyie.
  • @
    @twahilimohamed22323 years ago Kwanza uyu naibu chenga hakuna anetoka nyumbn akapate ajari pkpk inakamatwa anaambiwa laki mbili laki moja jaman wabunge wanafki tuktane 2025. 2
  • @
    @msomimosomy98123 years ago Vitendohivyo siyo maketetu ninchi nzima bodaboda tunafanyiwa hivyohivyo.
  • @
    @isamohamedramadhan22213 years ago Traffictunakabwapikipiki tunapotezana kazi hii, ila tutamis kangi lugola.
  • @
    @alihassani86683 years ago Sambamba na vijana wa bodaboda kuvunja sheria za usalama barabarani jeshi la polisi linachangia kwa kiasi kikubwa uwepo wa tabia hizi.
  • @
    @danielyohana72713 years ago Bodaboda ukiwauliza waheshimiwa utasikia wanavunjika bodaboda anapata hajali na abilia mmoja basi la kwenda mkoani linapata ajali nawatu 70 wote wanalipa faini ya 300 hindoshelia za tanzania mungu anawaona.
  • @
    @BANDOONLINETV20203 years ago Hakika ni hoja nzuri. Lakini pia angalia na hii.
  • @
    @jedidahbintidaudi82413 years ago Basi waziri ya mambo ya ndani watoe elimu kwa kaka zetu jmni. Mbona elimu kwa bodaboda wasipewe? Police nikuwafain tuu kaka zetu kila siku asubhuhi jioni lakini serikali bado inaliwa billion na billions of money.
  • @
    @joelrugano65173 years ago Hawa bodaboda fine iko juu lakini bado hawana adabu. Wakipunguziwa fine nadhani ndo watazidisha usumbufu. 1
  • @
    @ombeniefata76173 years ago We mbunge hata ujui bodaboda unaweza kupigwa mpaka 900.
  • @
    @aminattai78443 years ago Mi ningeomba wahusika kuondoa yale makaratasikwenye pikipiki zetu ni uchafuzi wa mazingira kwenye vyombosticker kama kitengo husika jambokukuta bodaboda kwa nchi za jirani kubandika makaratasi kama ya kwetu ambayo pikipiki inapotembea maratasi yale yanapeperuka kama vile mabango ya kampeni. ...Expand
  • @
    @wisperfect53203 years ago Hakuna mtu ambaye anatenda kosa kwa kusema nitalipa faini hata kama itakuwakuseme ni kwamba bodaboda anapakia abiria mmoja kwa sh 10 anakamatwa kwa kutovaa viatu faini 30 je huyu mtu unataka ajikwamue kimaisha? Mwisho wa siku anafeli na kuwa mwizi pili unakuta anakamatwa na kuandikiwa makosa manne hapohapo hili swala liangalien kwa jicho la pili angalau kosa moja iwe hata 150 au 100. ...Expand
  • @
    @nickomlimbila2173 years ago Police sio rafiki kabisa na madereva boda nimeona kila sehem.
  • @
    @angelanaftael79653 years ago Sio bodaboda tuu hata magari binafsi unakamatwa tuu hata speed ikiwa 50 ukakutwa na 53 ni shida imagine. Ila pia unakamatwa kwa speed 53 lakini anapita . ...Expand
  • @
    @filbertcarlos29463 years ago Wewe waziri hujui tuukitaka kujua kama watu wanapata shida nunua bodaboda yako mpe kijana halafu utaona kati ya swali na hayo majibu yako.
  • @
    @saidiyusupu20903 years ago Huyu naibu chiro simuelewi, iv umekamatwa na police af unampeleka wap? Hao polic ni waonevu sana, kuna siku wataandamana kisa uonevu na upolwaji wa pikpik zao!
  • @
    @ishengomanelson3 years ago Mbona sisikii uvunjaji wa sheria za barabarani za hawa bodaboda? Hawa watu pamoja na mchango wao mkubwa wameleta madhara makubwa sana ila kwasababu ya . ...Expand
  • @
    @isacksaimon45323 years ago Mibunge mijinga hii ina piga makofi kabisa haijui 2 hawa boda wana pitia magumu sana hii mibunge haijui. 1
  • @
    @seifmohamed8363 years ago Fungia bodaboda wote niwezi hamnakutumia pkpk aina yoyote tutumie tax na daladala wengi wao niwezin.
  • @
    @alvangidion42673 years ago Kweli wanatukamata sana hasa dar es salaam kuna gari nambawanataka pesa usipowapa wanakupa kesi kwa mfano wrong parking au kwamba umepita barabara ya mwendo kasi ili mradi tu wakukomoe. 1
  • @
    @allenngandu173 years ago Hapa serikali iingie gharama tu kama ulaya polisi na traffic police wawe na body camera kama
    ulaya.
    1
  • @
    @irenepatrickdavid58913 years ago Me nadhan faini aizui makosaa na pia serikali aiwajali bodaboda.
  • @
    @mathewwami39053 years ago Kikubwa tu boda na bajaj wapewe elimu na sio fines tu. 1
  • @
    @officialjohanesmkandara43013 years ago Kuna mibunge mingine inatombwa sio bure wengine usikute wamesomeshwa na boda ila ishafika bungeni inajikuta ndo ishayapatia maisha kumama zenu wasenge nyie. 1