Duration 3:00

TASWIRA KIMATAIFA : Muziki wa rumba watambuliwa na UNESCO, Chansela mpya wa Ujerumani ahutubia bunge

211 watched
0
2
Published 16 Dec 2021

Shirika La Umoja Wa Mataifa La Sayansi Na Utamaduni (UNESCO) limeutangaza Muziki Wa Rumba Uliotia Fora Katika Nchi Ya Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo DRC Na Congo Brazzaville Kuwa Urithi Wa Dunia Ikiwa Ni Pamoja Na Mwandiko Wa Kisenegali Ambao Ulitambulika Katika Zama Za Utumwa Na Ukoloni. Barani Ulaya, Kansela Mpya Wa Ujerumani Olaf Scholz Amelihutubia Kwa Mara Ya Kwanza Bunge Jumatano, Na Kuelezea Miongozo Ya Miaka Minne Ya Serikali Yake Iliyoingia Madarakani Wiki Iliyopita. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #OlafScholz #Rumbamusic

Category

Show more

Comments - 0