Duration 16:21

NHIF yaeleza sababu za watoto wenye Umri wa zaidi ya Miaka 18 kuondolewa kama wategemezi

431 watched
0
1
Published 10 Dec 2020

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwana Bernard Konga amewaeleza wenyeviti wa Mikoa na Wilaya sababu zilizopelekea watoto wenye Umri zaidi ya Miaka 18 kuondolewa kwenye kundi la wategemezi. Akiongea na wenyeviti hao Jijini Dodoma katika kikao kilichoandaliwa na na Chama cha Walimu Tanzania(CWT) Konga amesema..........

Category

Show more

Comments - 0