Duration 2:24

Eid Mubarak Waislamu ulimwenguni washerehekea Eid ul-Fitr

1 232 watched
0
17
Published 13 May 2021

Waumini wa Kiislamu ulimwenguni wamesherehekea siku kuu ya Eid ul-Fitr leo, ikiwa ni mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Hata hivyo sherehe hizo zinafanyika wakati nchi nyingi bado ziko kwenye marufuku ya mikusanyiko ili kuepusha kusambaa kwa virusi vya corona. Yakub Talib anasimulia hali ilivyo jijini Dar es Salaam kuhusiana na sherehe za mwaka huu 2021. #kurunzi

Category

Show more

Comments - 4