Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
@user-kr3vh4nu1w4 years agoWallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo. ...Expand10
@
@susunabhan81154 years agoMambo super allah afanye wepesi yarabb. 5
@
@fadhilamassoudnassor30314 years agoNani kama maalim kheir inshallah allah akuongozee mkombozi wetu. amin. 2
@
@seifkhamis42984 years agoInshaallah allah akupe nguvu na afya uweze kufanikisha ktk kuitetea zanzibar. 1
@
@rashidomar27714 years agoYani inauma anatoka mtu bara kuja kuwafahamisha wa znz, sisi waznz tuko wapi, hem tushituke tuwe na uchungu na nchii yetu. 14
@
@muhsinnainoabdullah15394 years agoYes yani kura tupu hamna vitoto vya kuja kufanya zogo yani hi ndo zanzibar bana. 2
@
@machinjashabani53314 years agoWa zanzibar wana takiwa kuiunga mkononi act wazalendo kwa nguvu zote.
@
@PEMBANKWETU74 years agoNakama mwenyezimungu hetujaalia kupata zanzibar yetu mara hii bc sifikirii tena kupatikana zanzibar. 6
@machinjashabani53314 years agoChaguweni mtu anae tokana na nyinyi wenyewe sio mtu ambae haijuwi zanzibar wala wazanzibar.
@
@hasinahabibu9464 years agoWapate tu hiyo homa ya dege bado act wanasonga mbele ulipo tupo shusha tanga pandisha tanga safari iendele.
@
@zuhuraali90694 years agoNikifikiri act hakuna nyimbo wala muziki nilihic hampendi kumbe na nyinyi mnacheza.
@
@milazomilazo64864 years agoWazanzibar wanafik nyiye na wala hamupewi nch hamuna lolote. 1
@
@user-kr3vh4nu1w4 years agoWallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo. ...Expand10
@
@user-kr3vh4nu1w4 years agoWallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo. ...Expand10
Related videos for LIVE UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KIBANDA MAITI EP 2:
allah afanye wepesi yarabb. 5
amin. 2