Duration 36:26

UKOMBOZI WA HEKALU LA YERUSALEM – PASTOR SUNBELLA KYANDO

5 343 watched
0
92
Published 12 Nov 2021

Unaweza kuguswa na nguvu za Mungu lakini changamoto uliyonayo, ambayo ungetamani Mungu akusaidie ikabaki palepale.Kuna namna Yesu huwa anafanya kazi, hafanyi kazi kama Sisi tunavyofikiria na kwa wakati ambao sisi tunataka. Yesu aliingia HEKALUNI na kuondoka bila kufanya chochote kwasababu haukuwa wakati sahihi kwake kufanya chochote.Kwenye maisha kuna wakati tunataka kumuona Mungu na Mungu anakua hataki kuonekana.#PastorSunbella#Hekalu#Yerusalem

Category

Show more

Comments - 17