Duration 5700

Kutana na Wakala aliyejishindia bajaji ya tano ndani ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa

499 watched
0
0
Published 1 Jul 2021

M-Pesa inazidi kuyafikia maisha ya wateja wake kwa namna ya kipekee kabisa na wiki hii, tumesafiri mpaka jijini Arusha. Kutana na mshindi wa tano wa bajaji kwenye droo ya wiki hii ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa, Bwana Mashimba Katumbi kutoka Arusha ambae ameingia mjini na chombo kipya kabisa kiulaini baada ya kutumia M-Pesa. Endelea kutumia M-Pesa kwa kupiga *150*00# au Tumia M-Pesa App ushinde! #twendemjininampesa #pesanimpesa

Category

Show more

Comments - 0