Duration 38:42

MASELE CHAPOMBE: Vibaka Wanavyochana Nyavu za Madirisha Tandale

85 202 watched
0
331
Published 4 Mar 2017

Mchekeshaji Maarufu, Masele Chapombe atakuwa akipiga stori mbalimbali na wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam wakielezea maisha halisi ya mtaani kwao na namna wanavyoishi, kero zao na changamoto za kila siku wanazozipata majumbani na kwenye mihangaiko yao ya kila siku.

Category

Show more

Comments - 44