Duration 10:10

MANDELA HUYU NI FEKI ALITENGENEZWA YULE HALISI ALIUAWA MWAKA 1985

81 089 watched
0
938
Published 27 Jul 2020

Category

Show more

Comments - 284
  • @
    @aduwopbarack10504 years ago Astounding. Here in kenya, we say " iko kitu" 14
  • @
    @jasonhiphop25894 years ago Kinacho shangaza nikwamba. Nabii hata awe mwafrica bado wakuthibitisha nimzungu. Lemi ongala alisema mengi kwenye wimbo wa wema kumanyoko. This time we have . ...Expand 7
  • @
    @ameirameir49304 years ago Ukiwa umezama kwenye kina kirefu cha historia ya afrika kusini bs inawezekana sana kuna angalau chembe ya ukweli wa makala hii si ya kuibeza moja kwa moja it make sense. 19
  • @
    @erickdick94574 years ago Kamilisha ushaid mzee bado ushaid auna uzito wenda ikawa lakn ushahid bado auna uzito kamilisha ushahid. 10
  • @
    @karlmick94224 years ago Wabeberu wamekwisha ifanya dunia kuwa ngumu. Dunia nzima imeaminishwa uongo. Kwenye ufalme wa mungu kuna mengi sana. 14
  • @
    @t.v.a.i.s.s68423 years ago Inewezekana. Maana huaga hatuelewi. Hii africa ya kusini wele watu weusi wanavyo kua wana uwawa, eyi kissa ni ma foreigners. Ukiwa mwenye hakili na kufuatilia . ...Expand 3
  • @
    @kipokendirangu25724 years ago Mchungaji hapo ninakuunga kulikuwa na kijana kijijini kwetu alikuwa kafungwa miaka 10 alipotoka jamaa alikuja kumtafuta mke wake kijijini kwa bahati yule . ...Expand 10
  • @
    @emanuelnyab98722 years ago Duu ukute hata magufuli hakufa bali alitekwa na kufichwa. 8
  • @
    @yasinamiri76494 years ago Kwel kabisa sasa leo ndio nimemuamini my friend toka kwa mandela alinambia kitu nawe ume yaludia so ni kwel kabisa. 8
  • @
    @aldogunwillgun88864 years ago Yaan kidogo africa tumeamkahistoria ya africa. 11
  • @
    @sa3dasa3da874 years ago Inasemekana wazungu washatengeneza sana watu feki kwa faida yao. 9
  • @
    @hamadeddymaclayz2 years ago Hii inaweza kuwa kweli kabisa wengi wanasema hivyo. 1
  • @
    @momadeatibo67294 years ago Ni kweli mandela huyu alikua hawzi kulia wala hawezi kucheka, ni hatari sana. 7
  • @
    @mariamfaicalhassan28904 years ago Tutafutie ya nigeria nae maana yule wanasema siyo rais wao wakwao alisha fariki @mwl benson mwakilembe, nasikia yule siyo buharia. 9
  • @
    @emmanuelnjelekela62994 years ago Mmh kama ni kweli bass hiili ni tatizo kubwa na ikithibitika wazungu wote wataondoka looh. 5
  • @
    @prospermlowe98304 years ago Dah kwakweli sina neno, no truth in the world by luck dube) 8
  • @
    @leonardchoma37652 years ago Niliwahi kumpuuza mtanzania mmoja aliyerudi nyumbani tanzania kutokea zambia mwaka 1987 nilipokuwa darasa la 6 huko kwetu mbeya mjini aliponiambia kwamba . ...Expand 3
  • @
    @adamkasasa42904 years ago Nahic itakua kwel kwa 7bu afrika kucni 83% y ardhi yote ya humo ni yamakabulu na wenyeji 17% y? 7
  • @
    @JafariAbdallah-ot9gp5 months ago Duh! Kwakweli hii habari nimejua leo hatari sana.
  • @
    @michaelgodliving54274 years ago Hao wenzake mbona hatukuwahi kusikia kweli hata wakiongea? 7
  • @
    @cytkl4 years ago The mandela effect! Ukweli huo inaitwa chrones mzungu ni shetani. 20
  • @
    @fredichaki48684 years ago That is true is technology of human chrone ya kumtengeneza binadamu kupitia vinasaba vya mtu. 8
  • @
    @tiffahdangote75482 years ago Kuna virambasi wengine huku! Ngoja tuendelee kuishi yajayo yanafurahisha. 1
  • @
    @allyhuyu18922 years ago Hapana si kweli hakikuhama kipo palepale bali kamera imetumika marambili ili uamini niyuleyule angalia mstari uliopo karibu ya jicho la kulia kidoti kipo kushoto kwake nimandele huyohuyo hakuna feki hapo. 1
  • @
    @dillysilly63802 years ago Nashtuka sana
    hivi tutatoka kwenye mikono yawazungu lini?
    naumia sana.
    1
  • @
    @muungwanaseiph6624 years ago Yeah. Miaka 27. Thenkwel kuna something. 3
  • @
    @IbrahimMohamed-yy2il3 years ago Mwalimu unaongea mambo ambayo akili za waafrika zimefungiwa kwa nguvu nyingi, rasilimali nyingi hata kafara nyingi sana zimefanywa ili akili ilale. Wewe . ...Expand 4
  • @
    @yusufumajinge594 years ago Wazungu hawa huwa wanahuu mchezo wafrica fumbuenisana hawa watu, na wanaweza kutengeneza tsunami kwa lengo la kuzima uchumi wa nchi furani. 15
  • @
    @samuelminja10844 years ago Yani unamwita mandela kirambasi wew chizi tafuta ukweli. 1
  • @
    @rashidisadala94602 years ago Nilipo iona hii video ilibidi niende nikajiridhishe kuhusu hiki kisa
    nimeangalia picture ya mandela akiwa kijana na akiwa mzee lakin inaonekana hakuna madiriko yoyotee kwenye pua ya hizo sura mbili.
    1
  • @
    @msangodiesel31324 years ago Kwani nyerere hajui alivyo kuja kumona. 3
  • @
    @BIGBOSS-hl3bu2 years ago Hicho kidoti kinahama kama nyumbu wa tanzania na kenya kule serengeti? 1
  • @
    @deusmauka96264 years ago Nd' o maana alimkataa mke wake maana angemgundua kimaumbile. 20
  • @
    @adammwamba91772 years ago Jibu la hicho kidoti unalo ktk simu yako. Tumia camera ya mbele kujipiga picha then pozi hilo piga picha nyingine kwa camera ya nyuma utaona tofauti.
  • @
    @greenapple83684 years ago Tunasikiaga habari za mandela kufungwa ila atujui chanzo cha kufungwa n itapendeza tukipata iyo story. 7
  • @
    @stanlaymanya6872 years ago Acha ufala kushoto kwenye kioo ni kulia, acha kutafuta stori za kisenge upeipiga picha mojawapo kwenye kioo ili kutengeneza tofauti.
  • @
    @jaymandy19143 years ago Hata mimi nashindwa kupata picha kabisa aliekufunga gerezani miaka ishirini na saba iwe vipi umsamehe? Hapo kuna mchezo tulichezewa bila shaka.
  • @
    @mwambarock36964 years ago Isije ikawa hata tundulisu ameshakufa ameludi mwingine daaaaa itaniuma Sana 14
  • @
    @issaali33754 years ago Kamera ya mbele kitojo kinakuwa kulia na kamera k wa nyuma inakua kidoto kushoto. 1
  • @
    @calebmutua58384 years ago Mabeberu ni watu wabaya sana hao watu wa magharibi hawafai kabisa inafaa tuamke wafrika. 5
  • @
    @linushelbert55293 years ago Mwalim naomba utengeneze vitaba zisambaze tz nzima.
  • @
    @jimmycroud10274 years ago Mm mpaka sasaiv nmeamin aisee kwanza cyo kdot tu ata sura n tofaut ila mm tokea zaman nlikuw nasema mbona yuko tofaut sana maana sura ya mandela mwenyew . ...Expand 2
  • @
    @roviykamage54234 years ago Hu ni ukweli, na ndiomana mandela original angetoka gerezani angewavumusha wazungu. Mandela wa kweli aliuwawa mapema. 7
  • @
    @emanuelanderson44832 years ago Baadhi ya camera huwa zinageuza image. Mfanokama tisheti ina maandishikidoti kuonekana kulia ama kushoto ni kamera yako wanaweza mbadilisha mtu halafu washindwe kidoti tu. Hapo umepuyanga. ...Expand 2
  • @
    @dkmrishokimbesa8582 years ago Nndo kwanza nasikia reo hivyo siwezi kuamini wala kupinga.
  • @
    @mwanagwakyala32132 years ago Mmmmh nimechoka kumbe mchezo huu kitambo umeanza.
  • @
    @erastobartalome27093 years ago Hata mimi kuna mswali nilijuiliza kuhusu mandela hatimae naanza kupata majibu.
  • @
    @bonfacekhaondo85442 years ago Wazungu wana njama ya kututoamacho kwa kila linalotokea.
  • @
    @philipoinzag23794 years ago Napenda na kufatilia sana habari zako lakini kwa hili umetuzingua ina maana hata nyerere hamjui? Au mke wake kwa nini alishiriki maziko? 2
  • @
    @digostjafety60702 years ago We kuma unakuja kutugeziza picha afu unasema feki,
  • @
    @jenniphermwakasita68303 years ago Inawezekana ikawa nikweli maana wenzi baada ya kutoka mandela na kuteuliwa kuwa raisi angewatoa na wenzie aliesota nawo na baada kutoka wangetoa neno kwa . ...Expand 2
  • @
    @amosmwakalundwa30312 years ago Even kamuzu banda wa malawi inasemekana nae ni feki sijui ni kweli?
  • @
    @barakajustine59224 years ago Hapana nimemfatilia mandela sana ila kwa makala haya ya mwalimu isaya sikubaliani nayo. 4
  • @
    @seiflugendo50432 years ago Basi hao walioujua ukweli kabla ya kifo cha mandera ndio wasaliti wa kwanza kuliko hata mandera mwenyewe. 1
  • @
    @elisanteabraham32494 years ago Ni kweli ushahidi wako hauna mashiko, kuhusu kidoti kama una simu yenye kamera ya mbele jiweke alama shavu la kulia then jipige selfie kisha angalia ile . ...Expand 5
  • @
    @bensonmuturi51222 years ago Kwa nini alikuja kenya kutafuta kaburi ya kimathi dendan.
  • @
    @zainabuabdul78522 years ago Muongo mimi mwenyewe kidoti ninacho ila kuna wakati kuipiga picha unaweza kusema fake ila inatokea kutokana ma location yk unakaaje. 1
  • @
    @Nuyama14 years ago Hiyo kitu nimewahi kuiongea kwa watu miaka minne ilopita lakini watu hawakuniamini na hiyo ilikuja baada ya kuwa na mashaka na mienendo isiyoeleweka ikiwemo misimamo isiyothabiti ya mandela. 22