Duration 5:27

Mbunge Joseph Selasini aeleza sababu ya kifo cha Dkt. Masumbuko Lamwai

17 309 watched
0
32
Published 5 May 2020

#HABARI Mbunge wa Rombo Joseph Selasini (mdogo wa Dkt. Lamwai) kupitia #SupaBreakfast ya EA Radio amesema Dkt. Masumbuko Lamwai alikuwa akisumbuliwa na Malaria kali, na usiku wa kuamkia leo alizidiwa na alifariki alipokuwa akielekea Hospitali. Kwa sasa mwili umehifadhiwa Hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam. --- Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: /channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg

Category

Show more

Comments - 9