Duration 10:4

Ndege Iliyopotea Miaka 37 Na Kurudi Ikiwa Na Mafuvu 92 Ya Binadamu.

by YIB
738 326 watched
0
12.9 K
Published 29 Feb 2020

In This Video: Safari ni moja kati ya kitu muhimu sana katika maisha ya viumbe hai, haijalishi unaishi wapi kitendo cha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine huitwa safari, Sio tu kwa binadamu bali hata wadudu,Unapo nyanyua mguu wako wa kushoto na kupeleka mbele utaita hatua lakini mwenzio sisimizi anaita safari..! Lakini twende mbele na turudi nyuma hakuna safari inayotisha na kufuraisha kwa wakati mmoja kama safari ya ndege.! Hii husababishwa na maajabu mengi yatokanayo na anga, huko juu huko hakuna barabara ya lami, ila ni rahisi sana kuzimia kama utachungulia dirishani na kumuona mtu anatembea Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Sources : /watch/o44XxzfZtbKZX https://www.pexels.com/video/view-of-a-beautiful-graveyard-1955541/ Check out other videos on the Channel: NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.! /watch/ASovffWFxL1Fv Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: "Hero Down by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) BG Music: Magic Forest Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Lost Time Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

Category

Show more

Comments - 272