Duration 3:47

UGOMVI HAKUNA: RC MAKALLA AWAPATANISHA MKURUGENZI NA MEYA KINONDONI, AWAPA UJUMBE HUU

9 086 watched
0
24
Published 21 May 2021

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa mkoa na kuwakutanisha meya na mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni. Mkuu wa mkoa amewataka viongozi hao kurejea ofisini na kufanya kazi kwa pamoja, kutekeleza miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi.

Category

Show more

Comments - 29