Duration 24:33

Mahojiano na kundi la muziki wa injili la J Sisters

68 413 watched
0
204
Published 11 Oct 2011

Ndugu wawili kati ya wanne wanaounda kundi la J Sisters wakieleza mengi kuhusu historia ya kundi lao, wakifafanua utata juu ya wao kusikiliza nyimbo za wasanii ambao hawajaokoka, muziki wa injili kwao ni nini, ukabilianaji wa ratiba baina ya shule na huduma, mambo wanayokabiliana nayo kama wasanii wa nyimbo za injili na mengine mengi. Waliketi na Dada Mary Damian wa www.strictlygospel.wordpress.com KARIBU

Category

Show more

Tags

Comments - 18