Wakati unatoka Unguja kwenda Pemba lazima upite sehemu iitwayo Nungwi. Eneo hili ilinaogopwa na kila abiria kutokana na kuwa na mawimbi makubwa ambayo yanaweza kuiyumbisha meli. Pia eneo hili zimewahi kutokea ajali kama MV Spice ambayo ilisababisha vifo vya watu 200 na majeruhi 600.