Duration 32:9

STORI Mwanzo Mwisho na Watoto Mapacha wa Mbunge Msigwa/Maisha Yao na Harakati za Siasa za Baba Yao

9 686 watched
0
89
Published 29 May 2020

Habari Kwanza tumepiga story na Jackline&Joceline ambao ni watoto mapacha wa Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa. Wamezungumzia maisha yao kama mapacha, maisha kama watoto wa mwanasiasa mkubwa kutoka chama Kikuu cha Upinznaia nchini sambamba na naoni yao juu ya harakati za baba yao katika siasa. BONYEZA LINK 👉 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.

Category

Show more

Comments - 26