Duration 7:29

KUOKOKA NI KUTANGAZA VITA NA SHETANI

94 watched
0
3
Published 12 Dec 2021

Mchungaji Angelus Mbawala wa Kanisa la TAG Madizini mjini Songea ametoa rai kwa waumini wa kanisa hilo kusimamia wokovu kwa maneno na vitendo ili kupambana na adui shetani ambaye ametangaza vita na waliookoka .Alikuwa anahubiri katika kanisa la TAG Nazareth la Mwengemshindo mjini Songea wakati anatangaza uchumba wa Alex Komba na Heliet Mahay

Category

Show more

Comments - 0