Duration 12:25

Rose Muhando awaliza watu kwa wimbo wa Ndivyo Ulivyo- watu watokwa na machozi

2 444 911 watched
0
12.1 K
Published 6 Jul 2019

Rose Muhando awaliza watu kwa wimbo wa Ndivyo Ulivyo- watu watokwa na machozi siku ya Jumapili 30.06.2019 kwenye uzinduzi wa Semina ya Mid Year Cross Over 2019 ya Kukabidhi miezi sita ijayo kwa BWANA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni 'B'

Category

Show more

Comments - 1597