Duration 17:36

MKUU WA MAJESHI AFUNGUKA NENO LA MWISHO ALILOAMBIWA NA RAIS,AELEZEA ALIVYOANZA KUUMWA

12 458 watched
0
42
Published 26 Mar 2021

Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania (CDF),  Venance Mabeyo ameomba kuonana na Rais Samia Suluhu Hassan ofisini kwake akibainisha kuwa kuna dokezo anataka kumpatia. Mabeyo ameeleza hayo leo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli wilayani Chato Mkoa wa Geita. Alieleza hayo baada ya kuitwa kutoa salamu za pole kama ilivyokuwa kwa viongozi mbalimbali waliohudhuria shughuli hiyo. Huku akizungumza kuhusu kazi iliyofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24 unaozunguka mgodi wa madini ya Tanzanite Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, aligusia suala hilo.  “Mheshimiwa Rais binafsi ninalo dokezo lakini naomba nisilitoe dokezo hilo nitakuomba nikuone ofisini,” amesema Mabeyo.

Category

Show more

Comments - 1