Duration 42:31

GABO & Jenifer Kwaka, BIG SUPRISE 1B 2021

323 265 watched
0
1.1 K
Published 21 Sep 2021

Jenifer Kwaka, Salim Ahmed, Muhamed Fungafunga, Latifah Idabu Kwenye maisha kuna mitizamo tofauti ,kila mtu anamtizamo wake na akili yake inavyomtuma Jordan alijikuta anaingia matatizo makubwa kutokana na mtizamo wake..fuatilia kisa hiki…..

Category

Show more

Comments - 193
  • @
    @user-pl1zr5vd8l3 months ago How can you marry someone without knowing their background. Nice move with lessons kudoz to all the participants you did great.
  • @
    @annaanyosisye86823 years ago Hivi mnajua tunatumia hela kuanglia sauti hamna tunashida na mziki sisi kaaah! 5
  • @
    @zulachama10673 years ago Hii filamu hilichezwa na mafundi wakujua kucheza filamu sio mchezo, asanteni sana nyote wausika, watching from mombasa- kenya. 5
  • @
    @aishaomar96213 years ago Movie tamu sana iko na funzo hongera sana kwako gabo love you more. 5
  • @
    @user-fg1ur1lo1f10 months ago Nakkubali gabo mahali upo, nakuombea mwenyezi mungu akueke na akuzidishie hiki kipaji kizidi kutustajabisha.
  • @
    @sophiaemmanuel79992 years ago Kwanini sauti zenu hamkuziachia zisikike tunaangaria mapicha na kusikiliza biti, muvi gabo nakukubali. 5
  • @
    @nurdinykhalfany93732 years ago Movi kali sana sauti tu ndio imezingua. 2
  • @
    @hirdahaule-qe8ot10 months ago Asante kwa muvi nzuri inafundisha sana wengi wanakaa na wanawake bila kwenda kwao nifunzo kubwa.
  • @
    @renatusmwanakatwe77173 years ago Asante kubwa ujumbe tumejifunza kwa kupitia filam hii big up. Mmh sauti sasa! 6
  • @
    @mauaselemani21333 years ago Nzuri sana sauti tu imeleta figisufigisu. 2
  • @
    @shazilmtupa32623 years ago Shida ya movie za kibongo ni sauti bhana. 2
  • @
    @mugamgandila25973 years ago Move aina sauti ndo maana mnachemka bongo move amna kitu. 3
  • @
    @bassasamuel92813 years ago Mimi piya ninapenda hii movie kupita ngari langu sasa sauti jamani? 2
  • @
    @ephraimndelwa40733 years ago Ktk filam za kisenge zilizowahi kutengenezwa hapa bongo hii yakwanza, yaani filam ya mabubu wanaotumia ishara kwa kila kitu. 2
  • @
    @fabianbwire22623 years ago Movie tamu inatoa funzo but imekaa kwa educated people coz kuna mahali movie haina sauti na maneno yanayo andikwa chin ni kingereza. 7
  • @
    @angelinamamu88543 years ago Wangapi wameona kua mtoto anajua kuact. 25
  • @
    @annemakaka2103 years ago Sauti jamani! Duh! Pole sana gabo, kwa kweli uliyapitia. 7
  • @
    @VailethAnderson-vm3nc8 months ago Mtoto amevaa vema uhusika, daah al in all hili n funzomaneno y gabo ila hapa wamenifelisha xaut hakuna.
  • @
    @danielinyanza74653 years ago Wabongo bhn mda mwingine mnafeli sana, part 2 karbia yote mnaongea wenyewe tuwaelew vp ssa. 5
  • @
    @safaribahati68833 years ago I really like this movie and i did learn something thank you for the lesson, but the problem was the voice, i taught you guys have to check your microphone, . ...Expand 2
  • @
    @cornelmassawe8562 years ago Mnavo upload movie kwenye youtube tafadhali jitahidini muekee na sauti vizuri
    napenda sana kufuatilia ila sipati ladha yoyote pale ninapo tizama igizo alafu halina sauti.
    1
  • @
    @duniamoise20233 years ago Kazi ni nzuri ila tatizo mnatunyima sauti jamani sio sote tunafaamu kusoma kingereza! 2
  • @
    @jokhamohammed9763 years ago Picha nzuri sauti akuna ndio nini sasa.
  • @
    @beatricemartin4743 years ago Jamani mbona mnaweka soundtrack movie nzima hata hatupati hamufix this problem movie inanoga tukisikia sauti za waigizaji. 2
  • @
    @erizabethlichima6218last year Sijapenda ata mb zangu mumekula bure saut hazisikiki.
  • @
    @bicheadamoadamo63272 years ago Gostei do movie, mas no se ouvi nada, logo, perdeu qualidade.
    diretamente, mozambique.
  • @
    @mwakaathumani47933 years ago Kwani imekuaje miziki hii hatusikii lolote na haya ni mafunzo tuone na tusikie movie nzuri sna.
  • @
    @rebeccaposhombili98902 years ago Asante lakini filamu ingekuwa nzuri kama sauti ingesikika yaani hatujuwi munasema nini tunafata filamu ya mabubu. 1
  • @
    @albertinemacimu12473 years ago Ila tausi na usiku wote huo uende nje kweli. 1
  • @
    @grouptv23 years ago Mim ni mpenzi wa movie za tz sana ( hogereni sana movie nzuri) maneno ndo tunatakiwa kuyasikia na sio music. Mko vizuri. 11
  • @
    @happnessgodfrey60803 years ago Mme ambiwa muende kwenye choo chawatu mnajishauatu.
  • @
    @graceirene82072 years ago Sasa movie bila sauti tunaelewaje mmeboa sana kwenye saut.
  • @
    @warrenfrancisco19583 years ago Yaan wabongo kila kitu tuko nyuma hadi sauti tu tunafel sjui tutaendelea lini.
  • @
    @samsonpeleka34533 years ago Move ya kimbumbamvu kwel et limziki utafikiri you tube ni studio. 1
  • @
    @dawoodysuddy15183 years ago Ndio movie taam kabisa ila sounds problem hatuelewi nini kinacho endelea kabisa producer rekebisha vizuri sounds kabisa plz. 2
  • @
    @raymusa00153 years ago Movie nzuri sana na funzo ila sauti ulitunyima kaka. 1
  • @
    @mariamissa15283 years ago Hii movie jaman kipindi naiyona mara ya kwanza ilikuwa na saut.
  • @
    @antoniaroman93542 years ago Iludieni hii movie ili muikee sauti ipo vzr mno.
  • @
    @khadijaomary6462 years ago Move ainasaut waongeaji jmn vinanda vya mziki tuu. 1
  • @
    @alshakizmwongesh86243 years ago Kwan uku kuna endaje part 1b hakuna sauti hadi mwisho ama. 2
  • @
    @annatanzania26902 years ago Sauti mmetubania sasa hayo mnayoongea yalikua na faida hata kwetu pia.
  • @
    @sarahhassan28573 years ago Nzur ila haieleweki ni sauti na hatujui nn kimemuua.
  • @
    @mugamgandila25973 years ago Ndo tatzo la move zetu akuna sauti usikii watu wakiongea. 1
  • @
    @prospermbilinyi81613 years ago Toka movie inaanza mpaka inaisha ni music tuu na ndo maana sipendagi movie za kibongo mimi. 1
  • @
    @winfridahmbapa25782 years ago Na fungafunga mbna nafas ya ubaba walimpa uwiii ye na mzee magar hawatakag ujinga.
  • @
    @ukhtyshery89703 years ago Kwani lengo haswaa la huu mziki ni nini ee.
  • @
    @omarymussa47863 years ago Mnafeli wapi wabongo sauti hamna mbona.
  • @
    @estherkamene11272 years ago Part 1 iko wapi i mean origin of story.