Duration 10:17

SIKU ZA HATARI ZAIDI KUSHIKA MIMBA MWANAMKE BAADA YA HEDHI (NDANI YA SIKU 28)

35 360 watched
0
154
Published 9 Aug 2020

SIKU ZA HATARI ZAIDI KUSHIKA MIMBA MWANAMKE BAADA YA HEDHI (NDANI YA SIKU 28) Habari ndugu mtazamaji leo nakuletea video mpya inayokufafanulia vizuri siku zote za salama na za hatari kwa mwanamke. Ni vema utazame mpaka mwisho video hii itakusaidia kujua kuhesabu siku vizuri, na kuepuka madawa ambayo yanauwezekano mkubwa wa kukuletea madhara. TAFADHARI BOFYA BATANI LA SUBSCRIBE NA KENGERE ITAKAYOTOKEA PEMBENI YAKE, HAPO JUU ILI KILA VIDEO NTAKAYOILETA UWE WA KWANZA KUIPATA

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @anithaabanza11633 years ago Jamani naomba unisaidie naomba yako tuwasiliane ndugu.
  • @
    @jenniphergiovane26883 years ago Mm nauliza unaweza kupata mimba ukiwa unahisi dalili za priond? 2
  • @
    @jenniphergiovane26883 years ago Yaan unahisi kuingia priond ukafanya mpenz.
  • @
    @fardaamry49593 years ago Et kaka samahani mie nimeingia period tarehe 13/8/2021 na siku zote hapo sijakutana na mwanaume lakini tarehe 29/8/2021 nimekutana na mwanaume je naweza kupata mimba? 1
  • @
    @jahialiali70933 years ago Mm mzungunguko wangu ni wa 28 nimejaribu sai miaka 2 sijashika. 1
  • @
    @estherandeso42332 years ago Nimefanya mapenzi asubuhi jioni nikanza period jioni nko na maumivu makali xana ya tumbo shidah ni nini.
  • @
    @allyramadhani12223 years ago Dokta naomba nijue na siku ya 15 je unaweza kupata mtoto wa jinsia ngani kwa mzunguko wa siku 28.
  • @
    @serahwangui87582 years ago Naweza fanya nini niweze kuupata ujauzito haraka?
  • @
    @makilabachampionkasmaombi56753 years ago Hello naomba namba zako ilituasiliyane kidogo kaka.
  • @
    @halimamohammed69223 years ago Doctor je km unaigia siuzako tare moja nauwa unaeda siku 3 tu je unaisabuje.
  • @
    @magretmakongolosi71693 years ago Samahan naomba kuuliza swali kwa nn hedhi ujjrudia mara mbl kwa mwezi na je swz kupata uja uzito?
  • @
    @jallyokeillah17803 years ago Wengine tuna mzunguko wasiku 33 sasa mbona junatuambia.
  • @
    @nasraaman64492 years ago Samahan naukitak kujua kam mimb imeingia ndan ya izo ck 18.