Duration 7:57

Serikali ya Umoja wa Kitaifa inavyozidi kushikilia hatma Amani ya Wazanzibar.

50 watched
0
0
Published 21 Jan 2022

Siasa za Zanzibar daima hazijawahi kuwa legelege. Hata kabla ya Mapinduzi ya 1964 zilikuwa siasa za ushindani mkubwa, lakini baada ya kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi 1992 ushindani wa kisiasa ukarudi kama awali.

Category

Show more

Comments - 0