Duration 2:3

BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA KULAMBA MILIONI 700/AZAM NA TFF WAMESAINI MKATABA BILIONI 225.6

28 201 watched
0
158
Published 25 May 2021

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 24
  • @
    @leonardkayolo73143 years ago Hongereni sana azam tv, hakika mmeieshimisha ligi ya tanzania. Mungu azidi kuwabariki daima. 1
  • @
    @guccij62363 years ago Soccer la bongo mimba changa yani bingwa anatangazwa kwenye vipolo. 1
  • @
    @sirbinladen7863 years ago habar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za asili mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia youtube andika . ...Expand 2
  • @
    @samsonezekiel52393 years ago 2028 wapi tanzania au southafrica anayetangaza atakuwaje mbona mbali sana kweli tanzania bichwa la mwendawazimu.
  • @
    @omarylukindo53063 years ago Ss mwaka huo si wakina sarpong tutakosa hiyomsimu huu, maana mnatutamanisha halaf kumbe tuendelee kula mtori.
  • @
    @mussamsingi18673 months ago Jamani refa wa leo kutoka geita nyankumbu ni mwanachama wa yanga vipi mwenyekiti wa waamuzi tz unapeleka refa mwanachama wa ynga halafu anapendelea waziwazi.
  • @
    @kadofresh41323 years ago Asa vina mana gani ivyo mbna kama tunayeyushana yaani imagine ety 2028 ata aibu awana ety.
  • @
    @habibrwegoshora66243 years ago Yanga wajipange kwa unyama wa tff. Hapo pana kazi.
  • @
    @daudkihava85283 years ago Wangetutangazia hizo taarifa zao mwaka 2027 kama tutakuwa bado tunaishi. Sasa hivi hizi ni kama siasa za uchaguzi wa tff unaokuja. 1
  • @
    @mussamsingi18673 months ago Leo yanga 2. 2. 2024 kaitaba refa anawabeba na kibendera no1 mpira wetu unakwenda wapi tff na nassoro hamduni vipi wewe hamduni ulikuwa refa mzuri vipi unabeba marefa wa bovu kama huyu wa leo.