Duration 31:31

Maalim Seif: Kila mara tunashinda, mwaka huu tunashinda na tunakwenda Ikulu

73 881 watched
0
390
Published 14 Sep 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameapa kuwa uchaguzi huu utakuwa tafauti na zilizopita kwa sababu mara hii wakishinda watahakikisha wanaingia madarakani kwa njia yoyote.

Category

Show more

Comments - 374