@RukiaLaltia4 years agoIf you would like to watch this video in English press the link 5
@
@bintyally22644 years agoMashallah il cjaelew hiyo cheese n nin.
@
@namiaabdallah94764 years agoNazmia abdullah unafundisha vizurisana asante.
@
@RaniyahAnwar4 years agoMa shaa allah nmependa sana design ya juu and they look so soft on the inside. 2
@
@akmarakram26344 years agoShukran sana dada, kwenye jiko tunafanya je naomba unilekeze.
@
@shamsamuhamed93064 years agoMashallah nimependa dear nikuulize hizi peas hauzichemshi or ziko sawa tu ukizikaanga.
@
@aminanoor31304 years agoNaweza tumia nyama ya kusaga badala ya kuku?
@
@lokinantongun76634 years agoAsante sana rukia, how can use gluten free flour?
@
@husnashindano11924 years agoShukran sana rukiya kwa mkate mtam ila nina swali apa ajili mda huu nataka kupika mkate kama uyo nifahamishe apa sister robo 3 katika maji na maziwa sijaelewa bado ntavipima vp?
@
@wardaridhwankassim47744 years agoHvi ukhty rukia vya samaki na kuku pishi ndo hilo?
@
@ladymuna49454 years agoAsalam alaykum daa rukia. Mm nimeipenda hii mikate. Swali langu ni jee ni lazima kupaka mayai wakati wa kuchoka? Au pia wawezachoma hivyo?
@
@hasinarashid27684 years agoDadakatika vpimo ututajie kwa lita ama kilo lakn hivyo vikombe hatunavyo mpenz.
@
@ethannando68394 years agoKama sina maziwa ya maji ya unga yanafaa.
@
@wardaridhwankassim47744 years agoNimetafta hili pishi nashkuru umelionyesha lakn nimepika leo vinaendana ndana.
@
@maryamammar74044 years agoNaomba kuuliza hapa kama unga umebaki naweza kuueka ktk friza?
Related videos for Mikate ya kuku | Mapishi rahisi ya mikate /banzi za kuku | Mikate ya kuku ya caterpillar .:
ila nina swali apa ajili mda huu nataka kupika mkate kama uyo nifahamishe apa sister robo 3 katika maji na maziwa sijaelewa bado ntavipima vp?