Duration 7:51

UMISIONARI KWA WATU WOTE_Kwaya ya Malaika Gabriel_Segerea

40 451 watched
0
224
Published 24 Apr 2019

Wimbo huu 'UMISIONARI KWA WATU WOTE', Utunzi wake Bernard Mukasa, Umeimbwa na kwaya ya Malaika Gabriel Mkuu, kutoka Parokia ya Roho Mtakatifu - Segerea, Jimbo kuu la Dar es salaam. Huu ni ujumbe mahususi wenye jina 'UMEBATIZWA NA KUTUMWA' ambao Baba Mtakatifu Francis anaupeleka kwa kanisa lote ulimwenguni katika azma yake ya kuutangaza mwezi Octoba kuwa rasmi mwezi wa umisionari kuanzia mwaka 2019. Hapa, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) linamwalika kila muamini katika kanisa la Tanzania aamke aupokee na kuuishi ujumbe huu. #kwayakatoliki

Category

Show more

Comments - 55