Duration 5:38

MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI

718 601 watched
0
2.3 K
Published 14 Jun 2020

Marafiki wanapokutana na kujikuta wanapenda kufanya jambo fulani huleta furaha zaidi. Ilikuwa furaha sana kukutana sisi wanne (Ray Ufunguo wa RAJO Productions), (Tumaini Swai wa RAJO Productions), (Fabian Mushobozi wa Holy Trinity Studios) na rafiki yetu mpendwa Lawrence Kameja.Kwa pamoja tukagundua yafaa kumwimbia Mungu kwa wasaa tuliokuwa nao. Nasi tukafanya hivyo kama marafiki. Hili sio kundi au kikundi rasmi cha waimbaji, bali ni marafiki tunaopenda kumwimbia Mungu. Tunawakaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu uliotungwa naye John Mgandu+ mnamo mwaka 1995. Wimbo wenye maneno matamu ya kumtukuza Mungu.Tunaposikiliza na kutazama, Tunamshukuru rafiki yetu Kelvin Boniface Bongole kwa kufanya sting music arrangement. Mungu aendelee ku mimina neema katika maisha yetu, neema za Mungu zikawe katika maisha yetu.#miminaneema #bwanaunibadili #kwayakatoliki #manenomatamu #rajoproductions #holytrinitystudios

Category

Show more

Comments - 495